Loading...
title : Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo
link : Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo
Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala ya dawa
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya
Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Sehemu ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) yaliyozinduliwa jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Mwakilishi wa Taasisi ya
Sehemu ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) yaliyozinduliwa jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Mwakilishi wa Taasisi ya
Global Fund Bw. Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari 181 ya
Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Sehemu ya wafanyakazi wa MSD wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison akijaribu moja ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
PALE WAPIGA PICHA WANAPOPIGWA PICHA – Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakipiga picha msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison (chini kushoto) na viongozi wengine wakati wakielekea kukagua magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini
Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Picha na IKULU
Hivyo makala Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo
yaani makala yote Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/rais-dkt-magufuli-azindua-magari-181-ya.html
0 Response to "Rais Dkt Magufuli Azindua Magari 181 Ya Bohari kuu Ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam Leo"
Post a Comment