Loading...

RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

Loading...
RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.
link : RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

soma pia


RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuviwezesha vikundi vya mazoezi ya kukimbia (Jogging club) kwa kuweka utaratibu wa mashindano  ya kila Mwisho wa Mwezi ambapo kikundi kitakachoshinda kitapatiwa kiasi cha shilingi Million 10 Kama mtaji wa kufanya shughuli za kujikwamua kiuchumi.

Hatua hiyo imekuja baada ya RC Makonda kubaini idadi kubwa ya vijana hao wakimaliza mazoezi asubuhi hawana shughuli za kufanya hivyo wanakaa vijiweni na kitendo cha kukaa kijiweni wanaweza kushawishika kufanya vitendo vya uhalifu hivyo kwa kuwapatia mtaji itawawezesha kufanya shughuli za uzalishaji Mali utakaowakwamua kiuchumi.
HUU NI MWENDELEZO WA RC MAKONDA KUWEZESHA AJIRA KWA VIJANA.


Hivyo makala RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

yaani makala yote RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/rc-makonda-kuvitajirisha-vikundi-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR."

Post a Comment

Loading...