Loading...

Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma

Loading...
Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma
link : Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma

soma pia

Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa leo katika Ukumbi wa NEC katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James (MCC) Kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Kufungua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana Wa Chama cha Mapinduzi leo Mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James(MCC) akizungumza wakati wa kutoa maelezo na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mafunzo Maalum kwa Wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa leo katika Ukumbi wa NEC katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma

Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana,leo katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Washiriki wakifuatilia semina elekezi ,leo katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni Ndg.Steven Kazidi akiwasilisha Mada katika Semina Elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Taifa,leo katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Meza kuu ikifuatilia Semina

(Picha zote na Fahadi Siraji wa UVCCM)

Hivyo makala Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma

yaani makala yote Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/siasa-kinana-azindua-semina-elekezi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Siasa : Kinana Azindua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma"

Post a Comment

Loading...