Loading...
title : SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO
link : SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO
SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO

Wakati huo huo, droo ya Kombe la Shirikisho la Azam inafanyika kesho Ijumaa Machi 2, 2018 saa 5 asubuhi Makao Makuu ya Azam Tv wadhamini wa mashindano hayo. Droo hiyo itahusisha timu nane(8) zilizofanikiwa kufuzu hatua hiyo ya Nane bora. Timu zilizofanikiwa kuingia hatua hiyo ni Young Africans na Azam FC za Dar es Salaam,Singida United ya Singida,Njombe Mji ya Njombe,Mtibwa Sugar ya Morogoro,Tanzania Prisons ya Mbeya,Stand United ya Shinyanga na JKT Tanzania ya Dar es Salaam.
Hivyo makala SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO
yaani makala yote SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/simba-na-stand-kucheza-uwanja-wa-taifa.html
0 Response to "SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUFANYIKA KESHO"
Post a Comment