Loading...
title : TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA
link : TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA
TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA
Ndugu wapendwa watanzania na marafiki wa Tanzania wote, tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Leyla Mtumwa kilichotokea tarehe 30 March 2018 mjini London. Inasadikiwa mauti yalimkuta baada ya purukushani na mume wake ambapo alichomwa kisu na kufariki papo hapo.
Mwili wa marehemu bado unahifadhiwa na polisi kwa ajili ya uchunguzi, baada ya taratibu nyingine. Tutakujulisheni taarifa nyingine tutakayoipata haraka iwezekanavyo.
Msiba utakuwa:
96 Berecroft. Harlow town.
CM 18 7SD
Kama desturi yetu tulionayo kama jamii tunawaomba michango yenu kwa hali na mali ili kufanikisha zoezi lakusafirisha mwili kwenda Arusha,Tanzania.
Account details Sort code 20-36-98 Account no 63049248 Barclays Bank.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na
Malick Kieti 07787449340 .
Said John 07957542863.
Enzy Larusai 07956483352.
Natanguliza shukran.
Ayoub Mzee
Hivyo makala TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA
yaani makala yote TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tanzia-mtanzania-leyla-mtumwa-auwawa.html
0 Response to "TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA"
Post a Comment