Loading...

TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

Loading...
TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE
link : TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

soma pia


TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali wa Kampuni ya simu za mkononi  Tigo, Sylvia Balwire akisaini ubao wa uzinduzi wa mfumo usajili wa laini za simu unaotumia alama za vidole kuhakiki taarifa za wateja wa makampuni ya simu Tanzania(BIOMETRIC), anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara ya Mawasiliano ,Dkt. Maria Sasabo leo kwenye viwanja vya Mlimani City Jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa wizara ya Mawasiliano ,Dkt. Maria Sasabo (mwenye kilemba) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano TCRA, Mhandisi. James Kilaba na Wakuu mbalimbali wa makampuni ya simu Tanzania leo.


Mtaalam wa Kitengo cha Upatikanaji wa Wateja Wapya Tigo, Keneth Ndulute akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa uzinduzi wa mfumo usajili wa laini za simu unaotumia alama za vidole kuhakiki taarifa za wateja wa makampuni ya simu Tanzania(BIOMETRIC).

Mtaalam wa Kitengo cha Upatikanaji wa Wateja Wapya Tigo, Keneth Ndulute akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi. James Kilaba.



Meneja Mradi wa Biometric wa Tigo, Mohamed Sufian akiwa kwenye banda la Tigo na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa laini za simu.




Hivyo makala TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

yaani makala yote TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tcra-na-makampuni-ya-simu-wazindua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE"

Post a Comment

Loading...