Loading...
title : Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus
link : Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus
Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus
Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali ya Tigo Tanzania, leo imewazawadia washindi 84 wapya wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus simu aina ya Tecno R6 zenye uwezo wa 4G.
Akikabidhi zawadi hizo kwa baadhi ya washindi katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi za Tigo jijini Dar es Salaam leo, Mtaalam wa usambazaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza alisema kuwa kufikia sasa promosheni hiyo imeibua washindi wa simu 240 kutoka sehemu mbalimbali za nchi.
‘Kila anayenunua bando la intaneti kuanzia TZS 1,000 kupita *147*00# anapokea bonasi ya hadi 1GB intaneti bure papo kwa hapo kwa matumizi ya Facebook, WhatsApp, Instagram ama Twitter. Pia anaingizwa kwenye droo ya kushinda mojawapo ya simu zenye uwezo wa 4G aina ya TECNO R6 zinazoshindaniwa katika promosheni hii ya Nyaka Nyaka Bonus.’

Mtalaam wa Usambazaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza (kulia) akimkabidhi mfanyabiashara wa Mbezi Beach, Michael Peter Ngwashi, zawadi ya simu ya kisasa aina ya Tecno R6 aliyoshinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus. Jumla ya washindi 240 wamejishindia smartphoni hizo baada ya kununua vifurushi vya intaneti kupitia *147*00#. Kushoto ni balozi wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus inayoendeshwa na kampuni ya Tigo, Meena Ali.
Mtalaam wa Usambazaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza (kulia) akimkabidhi mfanyabiashara wa Mbagala, Grace Gastory Mandai, zawadi ya simu ya kisasa aina ya Tecno R6 aliyoshinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus. Jumla ya washindi 240 wamejishindia smartphoni hizo baada ya kununua vifurushi vya intaneti kupitia *147*00#. Kushoto ni balozi wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus inayoendeshwa na kampuni ya Tigo, Meena Ali.
Mtalaam wa Usambazaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza (kulia) akimkabidhi mfanyabiashara wa Mbezi Beach, Mohammed Omar Sabuni, zawadi ya simu ya kisasa aina ya Tecno R6 aliyoshinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus. Jumla ya washindi 240 wamejishindia smartphoni hizo baada ya kununua vifurushi vya intaneti kupitia *147*00#. Kushoto ni balozi wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus inayoendeshwa na kampuni ya Tigo, Meena Ali.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus
yaani makala yote Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tigo-yawakabidhi-simu-washindi-84-wa.html
0 Response to "Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus"
Post a Comment