Loading...

TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN

Loading...
TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN
link : TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN

soma pia


TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN

Mshauri mteule wa masuala ya usalama Marekani, Bolton John (69).

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
RAIS  wa Marekani, Donald Trump amemteua  Bolton John (69) kuwa Mshauri wa masuala ya usalama baada ya kumwachisha kazi aliyekuwa katika nafasi hiyo H.R  McMaster.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Trump ameandika kumteua Bolton John (69) kuwa mshauri wake wa masuala ya usalama wa taifa na mteule huyo kuanza kazi rasmi ifikapo mwezi Aprili.

Inasemekana kupishana kauli kati ya Trump na McMaster siku za nyuma  ndiko juu ya sera za nchi hiyo ndiko kulikopelekea maamuzi ya Rais Trump kumfukuzisha kazi.

John Bolton anakuwa mshauri wa tatu wa masuala ya usalama huku akiwa amehudumu katika mihula kadhaa na aliwahi kuhudumu kama mwakilishi wa Marekani Umoja wa Mataifa.

McMaster ataungana na aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje, Rex ambaye alifutwa kazi siku chache zilizopita kutokana na maamuzi ya Rais Trump.


Hivyo makala TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN

yaani makala yote TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/trump-amfuta-kazi-mshauri-wa-usalama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN"

Post a Comment

Loading...