Loading...
title : TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.
link : TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.
TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania UK na Northern Ireland inapenda kuwatangazia Wanachama wake na Watanzania wote wanaoishi nchini Uingereza, Wales, Scotland na Ireland ya Kaskazini (Ireland)
kuwa Mkutano Mkuu wa Pili (AGM – 2018) Utafanyika katika Jiji la Coventry hapa nchini Uingereza
Anuani – ST. MARY & ST BENNEDICT
52A RAGLAN STREET
COVENTRY – CV1 5QF
Kuanzia saa tano asubuhi hadi saa kumi na moja Jioni, Ajenda kuu kubuni mikakati Zaidi kwa maendeleo ya Jumuiya Yetu
Kuongeza Ushirikiano na Jumuiya mbalimbali hapa UK na Ireland
kutakuwa na chakula cha mchana na vinywaji Baridi
WANACHAMA HAI BUREE NA ASIYE MWANACHAMA NI £15 (£5 ADA YA KUJIUNGA NA £10 CHAKULA)WATAKAOJIUNGA SIKU HIYO KUPEWA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUWA MWANACHAMA HAI NA WATAKAVYOWEZA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA JUMUIYA (Terms and Condition Apply)
Mara baada ya Mkutano ni burudani ya Muziki katika Club Junction – Coventry mpaka majogoo
DISCOUNTED GROUP HOTEL BOOKING – AVAILABLE
FOR MORE INFO, PLEASE CALL – 07402344004/07941656446/07956485119/07903828119
WOTE MNAKARIBISHWA
Hivyo makala TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI.
yaani makala yote TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tukutane-coventry-jumamosi-tarehe.html
0 Response to "TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM – 2018) – JUMUIYA YA WATANZANIA UK NA IRELAND KASKAZINI."
Post a Comment