Loading...

UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU

Loading...
UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
link : UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU

soma pia


UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimuonyesha Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Popou (kushoto) pikipiki iliyotolewa na Urusi (Soviet Union) ili iweze kutumiwa wakati wa harakati za ukombozi wa bara la Afrika alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimuonyesha mazingira ya ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Popou (wapili kushoto) alipotembelea katika ofisi hizo kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ujio wa Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi hizo kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa UNDP nchini, Bibi. Natalie BOUCLY (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kuhifadhi urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam na kujadili namna ambavyo UNDP itasaidiana na wizara katika kuhifadhi historia hiyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo. 
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimshukuru Mwakilishi wa UNDP nchini, Bibi. Natalie BOUCLY (kulia) baada ya kutembelea ofisi za kuhifadhi urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam na kujadili namna ambavyo UNDP itasaidiana na wizara katika kuhifadhi historia hiyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Picha na: Genofeva Matemu -WHUSM


Hivyo makala UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU

yaani makala yote UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/uhifadhi-wa-kumbukumbu-ya-historia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU"

Post a Comment

Loading...