Loading...

UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS

Loading...
UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS
link : UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS

soma pia


UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam  kupitia Umoja wa Rudisha uzalendo Tanzania (RUTA) umepongeza juhudi za Rais Dk.John Magufuli na watendaji kazi wake katika kusukuma gurudumu la maendeleo nchini huku wakitangaza kufanya maandamano ya amani Aprili 12 mwaka huu.

Hayo yameelezwa leo na Mratibu wa umoja huo Charles Masele amesema leo jijini Dar es Salaam kuwa wananchi wengi wamevutiwa na wanaunga mkono juhudi za Rais Magufuli, hivyo katika kumpongeza wameandaa maandamano ya amani yatayohusisha watu wa itikadi zote yatakayofanyika Aprili 12 mwaka huu kuanzia Karume hadi viwanja vya Mnazi mmoja kuanzia saa moja hadi saa tano asubuhi .

Wakizungumza zaidi  wadau hao wamesema hawana budi kuunga mkono juhudi za Rais kwani huduma nyingi zimeboreshwa zikiwemo miundombinu, afya hasa kwa akina mama na elimu ambayo hutolewa bure, pia mikopo ya elimu ya juu ambayo hutolewa kwa wanafunzi wa hali ya chini.

Aidha wameeleza utiifu wa Rais na watendaji wake wa serikali na taasisi binafsi kwa namna wanavyothamini na kuhudumu kwa haki na usawa hivyo wameona na vyema kumuunga mkono na kumuombea.

Pia umoja huo umewataka vijana na watu wa kada mbalimbali kuunga mkono juhudi hizo kwani zinafanywa kwa maendeleo ya kizazi cha sasa na baadaye.
 Mratibu wa Umoja wa Rudisha Uzalendo Tanzania (RUTA), Charles Masele  akizungumza leo jijini Dar es Salaam kuhusu maandamano ya amani yatayohusisha watu wa itikadi zote yanayotarajia kufanyika Aprili 12 April mwaka huu, Picha na Emmanuel Massaa, Globu ya jamii,
Mratibu wa umoja huo,Charles Masele akifafanua jambo


Hivyo makala UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS

yaani makala yote UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/umoja-wa-rudisha-uzalendo-waandaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS"

Post a Comment

Loading...