Loading...

VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME

Loading...
VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME
link : VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME

soma pia


VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME

Na Veronica Simba 
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepewa heshima ya kuwasha umeme katika vijiji vitatu ambavyo huduma ya kupeleka umeme imekamilika.
Zoezi hilo lilifanyika kwa nyakati tofauti, Machi 15 hadi 18 Mwaka huu, wakati wa ziara ya Kamati hiyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya sekta za nishati na madini katika Mikoa kadhaa nchini.
Vijiji vilivyowashiwa umeme ni Nyabange kilichopo Wilaya ya Butiama mkoani Mara, Kijiji cha Idala wilayani Nzega pamoja na Kijiji cha Kisaki kilichopo Mkoa wa Singida.
Akitoa ufafanuzi kwa Kamati husika, Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu alisema kwamba, Vijiji hivyo vimepata huduma ya umeme kupitia mpango wa upelekaji umeme vijijini unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Mradi mkubwa wa umeme wa Backbone.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dustun Kitandula (katikati) akiwasha umeme katika Kijiji cha Nyabange wilayani Butiama, Machi 15 mwaka huu, wakati wa ziara ya Kamati hiyo mkoani Mara kukagua miradi ya umeme. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu.
Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu (kulia) na Kamishna wa Nishati Mhandisi Innocent Luoga (kushoto) wakitoka katika nyumba ya mkazi wa kijiji cha Idala wilayani Nzega (inayoonekana pichani), ambayo iliwashiwa umeme wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kijijini hapo, Machi 16 mwaka huu.
Mbunge wa Jimbo la Chumboni Zanzibar ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Ussi Pondeza akiwasha umeme katika Kijiji cha Kisaki Mkoa wa Singida, wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kijijini hapo Machi 18 mwaka huu. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu.
Kazi ya kufunga umeme ikiendelea kwa hatua za mwisho katika Kijiji cha Kisaki mkoani Singida, kama taswira hii ilivyochukuliwa wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini katika eneo hilo, Machi 18 mwaka huu.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME

yaani makala yote VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/vijiji-vitatu-vyawashiwa-umeme.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIJIJI VITATU VYAWASHIWA UMEME"

Post a Comment

Loading...