Loading...
title : Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi .
link : Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi .
Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi .
Na Heri Shaaban
Mwambawahabari
WAKAZI 600 wa Mtaa wa Bonyokwa Wilayani Ilala wanatarajia kuingia katika MRADI wa upimaji makazi ya. o ili watambulike kisheria
Akizungumza na katika mkutano wa wananchi Dar es Salaaam Jana, ambao umewausisha Maofisa wapimaji na maofisa wa Benki ya CRDB.
" Wananchi Wangu wa Mtaa wa Bonyokwa tupo katika utaratibu wa kupimawa makazi yetu kila Mmoja anatakiwa kulipa sh. 200,000 akichelewa baadae atalazimika kulipa sh,300 000 katika Benki ya CRDB kupitia akaunti ya mradi."alisema Jeta.
Alisema Mtaa wake kuna wakazi 10400 waliokuwa tayari kupimiwa WAPO 600 wametakiwa kushirikiana na .maofisa wa upimaji ili MRADI umalizike haraka wa upimaji ukichelewa kwa wakati gharama zinaongezeka .
Alisema kila mwananchi aliyekuwa tayari ashirikiane na kamati ya MRADI kupitia akaunti hiyo kwa sasa WAPO ofisini ya Serikali ya Mtaa Mtaa Bonyokwa .
Amina alisema wale wasio na sifa MRADI huo hawawezi kupimiwa Mkurugenzi wa Ilala atoi kibari.
Alisema wananchi ambao hawana sifa ya kupimiwa ambao WAPO eneo la serikali ,katika mkondo wa MAJI bondeni na maeneo ya huduma za Jamii.
Alisema wale walio kuwa katika nguzo za Umeme au umevamia eneo la barabara usichange fedha maeneo ya Serikali na maeneo ya wazi yanatambulika.
Kwa upande wake Ofisa Mipango Miji wa Manispaa ya Ilala Samwel Magembe aliwataadhalisha kuwa makini na madali wa sheria wasichange pesa kwa kufungua kesi mahakamani wote waliokalia maeneo ya Serikali au maeneo ya Shule, huduma za AFYA watapoteza fedha zao na Serikali mwisho wa siku wanachukua maeneo yao na kukosa sifa ya upimaji.
Alisema wale waliokuwa katika migogoro ya ardhi au kufunga barabara hawawezi kupimiwa hivyo wasichange fedha zao .
" Maofisa wenzangu mara baada kupata idadi ya wananchi waliokubari kupimiwa watakuja na michoro kufatilia hatua kwa hatua wale walio kidhi vigezo ndio watapewa kipaumbele" Magembe
Naye Ofisa Msimamizi wa Mikopo Benki ya CRDB Pius Senyangwa alielezea taratibu za kupata mikopo ya kawaida na vikundi ambayo inatolewa na Benki yao.
Senyangwa alisema CRDB imeweka utaratibu wa utoaji mikopo kupitia Benki yao kuanzia kiwango cha sh, 300,000 kuendelea vigezo na masharti vinazingatiwa.
Aidha pia aliwataka WAZAZI wafungue akaunti za watoto kupitia Benki hiyo ili baadae waje kuwasomesha akaunti zao azina makato ya mwezi
Alisema akaunti ya watoto unarusiwa kutoa kwa mwaka Mara mbili kwa Benki ya CRDB hivyo aliwataka WAZAZI kuchangamkia fursa hiyo.
Hivyo makala Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi .
yaani makala yote Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/wakazi-600-bonyokwa-kupimiwa-makazi.html
0 Response to "Wakazi 600 Bonyokwa kupimiwa makazi ."
Post a Comment