Loading...

WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020

Loading...
WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020
link : WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020

soma pia


WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii

MKUU wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kisare Makori amehitimisha maadhimisho ya Wiki ya maji jijini yenye kauli mbiu ya Hifadhi Maji na Mifumo ya Ekolojia kwa Maendeleo ya Jamii.

Ametumia hitimisho la maadhimisho hayo kufungua mradi mdogo wa utakatishaji maji taka katika eneo ya Mburahati jijini.Akizungumza leo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Makori amesema maji yanayopatikana jijini kwa sasa ni asilimia 75 pekee na hadi kufikia mwaka 2020 maji yatapatikana kwa asilimia 95 na kufikia mwaka 2025 wakazi wote wa jiji watapata maji kwa asilimia 100.

Akizungumzia kuhusu mafanikio ya miradi maji Makori amesema miradi inayotekelezwa na DAWASA na DAWASCO katika mradi wa Ruvu chini ni lita milioni 270 kutoka lita milioni 182 zinazalishwa kwa siku na kuhudumia wakazi wa Bagamoyo, Kawe na maeneo ya jirani na mradi wa Ruvu juu lita 196 kutoka lita milioni 82 zinazalishwa kwa siku na kuhudumia wakazi wa maeneo ya Kibaha, Mbezi, Ubungo na maeneo ya jirani. 

Amesema zaidi ya visima 20 vimechimbwa na kunufaisha wakazi wa Kimbiji Mpera na maeneo yake.Amepongezwa wananchi kwa kukubali kuunganishwa na huduma ya maji kutoka laki 123,000 hadi kufikia 228,000.Pia amewataka wananchi kushiriki shughuli za usafi licha ya kuwa na asilimia 10 tu ya wakazi wanaopata huduma hiyo na amehaidi hadi kufikia 2020 asilimia 30 ya wakazi watafikiwa na huduma hiyo.

Makori amesema mwaka 2017 hadi mwaka 2020 miradi 50 ya uondoaji maji taka itajengwa Jangwani na kusaidia maeneo yenye wakazi wengi, mlipuko wa magonjwa na watu wenye kipato kidogo.

 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo,Kisare Makori akizungumza katika  maadhimisho ya wiki ya maji jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo,Kisare Makori (alievaa kofia ya kijani) akipanda mti katika mradi wa kuchaata maji taka.
 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo,Kisare Makori akiweka jiwe la msingi la ujenzi katika mradi wa kuchaata maji taka.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo,Kisare Makori  aiwa ameambana na viongonzi mbalimbali wakigangua eneo la mradi huo.


Hivyo makala WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020

yaani makala yote WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/wakazi-dar-kupata-maji-ya-uhakika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKAZI DAR KUPATA MAJI YA UHAKIKA IFIKAPO 2020"

Post a Comment

Loading...