Loading...
title : WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA
link : WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA
WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Christina Mndeme akifuatilia maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Mtiangimbole kilichopo katika Halmashauri ya Madaba ambapo jumla ya sh. Milioni 500 zimetolewa na Serikali ili kuboresha utoaji wa huduma za Afya. Wananchi wamemshukuru Mhe Rais kwa kuwaletea fedha za mradi huo .RC amewataka viongozi na mafundi kuweka uzalando na kujiepusha na ufanganyifu na amewataka watalaamu kukamilisha mradi huo kwa wakati na kwa viwango vya hali ya juu kwa matokeo chanya.
Hivyo makala WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA
yaani makala yote WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/wananchi-madaba-wamshukuru-rais.html
0 Response to "WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA"
Post a Comment