Loading...

WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

Loading...
WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA
link : WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

soma pia


WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeendelea na zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa mkoa wa Tabora, ambapo Wilaya zote zinaendelea na zoezi hilo.

Akizungumzia mwenendo wa zoezi hilo Afisa Usajili Mkoa wa Tabora Bi Grace Msaky, amesema mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa na kwamba wananchi wameelewa umuhimu wa Vitambulisho.

Amesema; kuhakikisha wananchi wanapata huduma na wanafikiwa mahali walipo kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa na Wilaya kwa sasa zoezi wanaendesha kwenye Vijiji na Mitaa wanakokaa wananchi na kwamba wananchi wanajulishwa muda na wakati wa kufika kwenye vituo kupata huduma hiyo.

“ kwa sasa wananchi wanaelewa utaratibu; ila changamoto ni baadhi ya wananchi kufika siku za mwisho wa zoezi na kufanya zoezi kuchukua muda mrefu kwenye baadhi ya Kata kinyume na ratiba iliyopangwa” alisisitiza.Mbali na Tobora mikoa mingine 19 inaendelea na zoezi kwa Tanzania Bara huku Tanzania Zanzibar zoezi hilo likiwa limekamilika kwa asilimia 99%.

Wananchi wa kata ya Ipuli mtaa wa Ipuli Halmashauri ya Wilaya ya Tabora wakiwa kwenye foleni kuelekea kwenye mashine maalumu za uchukuaji taarifa muhimu za Usajili zikiwemo upigaji picha, alama za vidole na saini ya kielektroniki.
Mkazi wa Mtaa wa Ipuli Bi Halima Abed akiwa kwenye zoezi la kupigwa pichwa ili
kukamilisha Usajili


Bi Maimuna Shabani Bundala Mkazi wa mtaa wa Ipuli akiweka saini ya kielektroniki kwenye mashiya ya Usajili wakati zoezi hilo likiendelea kwenye mtaa wake.
Bw. Shaban Yasin wa Kata ya Ipuli Mtaa wa Nane Nane akichukuliwa alama za Vidole kwenye zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa.


Hivyo makala WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

yaani makala yote WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/wananchi-tabora-wajitokeza-kwa-wingi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA"

Post a Comment

Loading...