Loading...

WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Loading...
WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
link : WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

soma pia


WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Keki ya siku ya wanawake katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Kwa mwaka huu kauli mbiu ni Kuelekea Uchumi wa Viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na Uwezeshaji waWanawake Vijijini.
Wafanyakazi wanawake wa benki ya TIB Corpatarate banki ltd  wa tawi la Samora wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kushehereka siku ya wanawake duniani.
 Siku ya Wanawake ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1900 kwa kupitia wanawake wafanyakazi wa sekta ya viwanda nchini Marekani walioandamana kupinga mazingira duni ya kazi zao, walilalamikia ukosefu wa huduma za kijamii na kuwepo kwa vitendo vya unyanyasaji katika ajira. 
Baadaye Umoja wa Mataifa ulipaoanzishwa mwaka 1945,ilipofika tarehe 8 Machi iliridhiwa iwe Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani. Benki ya TIB wakiwa na Kauli mbiu ya "Wanawake Tunachapa kazi" wakati kauli mbiu ya Taifa kwa ujumla ni

 "Kwa mwaka huu kauli mbiu ni Kuelekea Uchumi wa Viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na Uwezeshaji waWanawake Vijijini."
Mkurugenzi  mikopo wa benki ya TIB Corpatarate banki ltd, Adolphina william, meneja wa huduma kwa wateja Magreth Mulenga kwa pamoja na mteja wa benki hiyo wakikata keki kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja katika benki yao.
Mkurugenzi wa hazina Bahati Minja akimlisha keki Mteja wa
benki ya TIB Corpatarate banki ltd ikiwa ni siku ya wanawake duinani ambayo hufanyika kila mwaka Machi nane.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

yaani makala yote WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/wanawake-wa-benki-ya-tib-washeherekea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI."

Post a Comment

Loading...