Loading...

WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani .

Loading...
WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani .
link : WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani .

soma pia


WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani .

Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga

Ajali hiyo imehusisha gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace yenye namba za usajili T.676 DGK inayofanya safari zake Kimanzichana - Mbagala Rangi na gari nyingine aina ya Lori.
Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia machi 25 mwaka huu katika eneo la Kitonga kata ya Mwalusembe wilaya ya Mkuranga.Kwa mujibu wa Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga Stephen Mwandambo alisema amepokea maiti 25 na majeruhi 10 ambapo majeruhi mmoja alifariki njiani akipelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Inasemekana majeruhi waliopelekwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili wengine wao wamekatika viongo mbalimbali vya mwili.Kaimu kamanda wa Polisi kanda Maalum ya Kibiti Mohammed Likwata alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo cha ajali inadaiwa mwendo kasi wa dereva wa lori katika kilima na kusababisha ajali hiyo mbaya.Simanzi zimetawala katika wilaya hiyo ,ambapo mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega ,aliishukuru serikali ya wilaya chini ya mkuu wa wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga kwa juhudi zake za kusaidia majeruhi na marehemu kupelekwa hospitalini .
Ulega alitoa pole kwa wafiwa na majeruhi na kuwaasa madereva waache kuendesha kwa mwendo kasi kwani husababisha ajali zembe.

"Naishukuru pia hospitali ya wilaya kwa juhudi zao baada ya kupokea marehemu na majeruhi kuhangaikia kuokoa maisha yao." alieleza Ulega.





Hivyo makala WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani .

yaani makala yote WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/watu-26-wamefariki-dunia-na-wengine.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani ."

Post a Comment

Loading...