Loading...
title : WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma , Machi 29, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuongoza Kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018.
Baadhi ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri cha Kupitia Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wapili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpamgo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) baada ya kuongoza Kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/waziri-mkuu-aongoza-kikao-cha-mawaziri.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA"
Post a Comment