Loading...

WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI

Loading...
WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI
link : WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI

soma pia


WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu amekutana na ugeni kutoka nchini Uturuki ukiongozwa na Balozi wao Dkt. Ali Daoutoglu mapema leo katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es salaam.

Ugeni huo umejadili namna ya kuboresha Sekta ya Afya nchini hususani katika kuboresha huduma za dharura, uzalishaji wa dawa na ubadilishanaji uzoefu wa Wataalamu wa Afya kati ya nchi hizo mbili.

Balozi Ali Daoutoglu ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tazania na ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika kuimarisha Sekta ya Afya nchini.
 


Hivyo makala WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI

yaani makala yote WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/waziri-ummy-akutana-na-ugeni-kutoka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI"

Post a Comment

Loading...