Loading...
title : Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao.
link : Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao.
Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao.
Mkuu wa Kitengo cha Ukusanyaji Mikopo Isiyolipwa wa Benki ya Barclays Tanzania, Khatibu Mohammedy (wa tatu kushoto,) akikabidhi vifaa vya kusaidia upasuaji wa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk.Nicephorus Rutabansibwa (wa pili kushoto), katika hafla ambayo Barclays pia ilitoa msaada wa kadi za Bima ya Afya (NHIF), kwa watoto 200 pamoja na kuwezesha kambi ya siku moja ya upasuaji wa watoto 30 wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi. Hafa hiyo ilifanyika katika Taasisi ya MOI, Dar es Salaam jana. Wengine ni watumishi wa MOI na wa kutoka Barclays.
Mkuu wa Kitengo cha Ukusanyaji Mikopo Isiyolipwa wa Benki ya Barclays Tanzania, Khatibu Mohammedy(kulia), akikabidhi kadi ya bima ya afya (NHIF) kwa mmoja wa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi , Joy Jacob katika hafla ambayo Barclays pia ilitoa msaada wa kadi za Bima ya Afya (NHIF), kwa watoto 200 pamoja na kuwezesha kambi ya siku moja ya upasuaji wa watoto 30 wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi. Hafa hiyo ilifanyika katika Taasisi ya MOI, Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto (mstari wa nyuma) ni kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk.Nicephorus Rutabansibwa, watumishi wa MOI na wa kutoka Barclays.
Baadhi ya watoto 200 waliopewa msaada wa kadi za bima ya afya (NHIF) na benki ya Barclays Tanzania wakionyesha kadi zao katika hafla hiyo katika hafla ambayo benki hiyo pia ilidhamini kambi ya siku moja ya upasuaji wa watoto 30 wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi.

Hivyo makala Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao.
yaani makala yote Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/benki-ya-barclays-tanzania-yasaidia.html
0 Response to "Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao."
Post a Comment