Loading...

"BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA

Loading...
"BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa "BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : "BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA
link : "BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA

soma pia


"BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ, Injinia John Bura (wa pili kutoka Kulia) akiwa amenyanyua Tuzo ya Ubora ya Kimataifa (ISO 9001:2015) Baada ya Kampuni yake kukidhi viwango vya Kimataifa, baada ya kukabidhiwa na Mkaguzi wa Ubora wa Mifumo ya Kimataifa  (AQC Midle East FZE), Alfred Lihasi (kushoto), katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julias Nyerere, jijini Dar es salaam leo. Mengine pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB), Rhoben Nkori (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Contractors Association of Tanzania, Injinia Lawrence Mwakyambiki.
Mwenyekiti wa Contractors Association of Tanzania, Injinia Lawrence Mwakyambiki (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ, Injinia John Bura, Tuzo ya Ubora ya Kimataifa (ISO 9001:2015) kwa niaba ya Mkaguzi wa Ubora wa Mifumo ya Kimataifa (AQC Midle East FZE), Alfred Lihasi (kushoto). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB), Rhoben Nkori
Mkaguzi wa Ubora wa Mifumo ya Kimataifa (AQC Midle East FZE), Alfred Lihasi akiwasilisha mada katika mkutano wa Wakandarasi, uliofanyika
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julias Nyerere, jijini Dar es salaam leo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ, Injinia John Bura wa pili kutoka Kulia akieleza manufaa ya Tuzo hiyo ya Ubora wa Kimataifa baada ya Kukabidhiwa. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB), Rhoben Nkori Kushoto ni Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ, Hilu Bura na Katikati ni Mtaalam wa Mawasiliano na Msaidizi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya BQ Injinia Lorenco Simon.



Hivyo makala "BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA

yaani makala yote "BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala "BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/bq-contractor-yanyakua-tuzo-ya-ubora-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to ""BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA"

Post a Comment

Loading...