Loading...
title : KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA
link : KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA
KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, walioongozwa na Mwenyekiti wa Wabunge hao, Mhe. Asha Juma (katikati) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulie na kulia ni Mbunge wa Momba, Mhe. David Silinde
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kaimu-balozi-wa-zimbabwe-nchini.html
0 Response to "KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment