Loading...

KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI.

Loading...
KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI.
link : KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI.

soma pia


KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI.


 Na. John Luhende
Mwambawahabari
Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii katika  baraza la Madiwani  Manispaa ya Ilala imesema imeridhishwa na Maendeleo ya ujenzi utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayo tekelezwa wilayani humo
 Akizungumza  mara baada ya kukamilika kwa ziara ya kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii iliyotembelea utekelezaji wa miradi ndani ya halmashauri hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu za Uchumi na Huduma za Jamii Jacob Kissi ,alisema changamoto hizo tayari hatua za kuanza kukabiliana nazo zimekwisha kuanza kuchukuliwa.

“Tunaupungufu wa matundu ya vyoo na madarasa lakini tayari kuna miradi ya ujenzi wa madarasa yamekwisha kuanza Wizara ya Elimu,Sayansi, Teknolojia na Ufundi kupitia Mradi wa,EPFR, imetoa milioni 211,000,555 kwaajili ya ukarabati madarasa 28 na majengo ya utawala kwa  Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko lakini walijiongeza na  kukarabati  majengo mawili ya kufanyia mitihani mabweni sita na kumbi mbili, moja ikiwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 200 “alisema.

Katika shule ya shule ya Sekondari ya Gerezani alisema Milioni 300 ziliizinishwa na kamati hiyo kwaajili ya ujenzi wa jengo la ghorofa mbili katika shule hiyo ambapo tayari ujenzi unaendelea na wamerizishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi huo.
 Kwa upande wake Kaimu Ofisa Elimu Idara ya Elimu ya Msingi Manispaa ya Ilala Wema Kajigili alisema katika kukabiliana na changamoto ya madarasa na mazingira mazuri ya kujifunza kwa wanafunzi Shule ya Msingi MchikichiniImekarabatiwa madarasa matano kwa milioni 25 huku shule ya Msimbazi vyumba vitatu vikiwekwa bati mpya na  vyumba vine vikikarabaiwa sakafu.

Alisema juhudi hizo ni za mfano kwani halmashauri hiyo inashule nyingi za zamani ambapo alieleza kwa upande wa madawati tayari Mkurugenzi amekwisha tengeneza madawati 600 kwaajili ya kusambazwa katika shule za msingi za Mamispaa hiyo.

Tayari tumeshajenga shule mpya nne katika mwaka wa fedha 2017/2018 kutokana na ongezeko kubwa la wanafunzi tumeona madarasa yamekuwa machache lakini madarasa haya bado hatujayafungua”alisema
 
Manispaa ya Ilala inaupungufu wa matundu ya vyoo 50,000 na madarasa 1,700, na madawati 400 kwa kuwa madawati 600tayari yamekwisha tengeneza na yana subiri kumgawa katika  Shule za Msingi.















Hivyo makala KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI.

yaani makala yote KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kamati-ya-uchumi-na-huduma-za-jamii.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII ILALA YA RIDHISHA NA UTEKELEZAJI MIRADI."

Post a Comment

Loading...