Loading...

KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI

Loading...
KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI
link : KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI

soma pia


KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI

 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia) akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate of appreciation” Meneja Mkuu wa Dar es Salaam Yacht Club (DYC) Bw. Brian Fernandes (kushoto)  kwenye hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam mapema leo hii.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia) akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate of appreciation” nahodha wa Tanzania Sea Rescue (TSR) Bw. Ally Saleh Kitobe aliyeiwakilisha kampuni yake  kwenye hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam mapema leo hii.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni zilizopewa vyeti vya shukrani “Certificate of appreciation” kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Brian Fernandes (wa tatu kushoto) kutoka Dar es salaam Yacht Club (DYC), Ally Saleh Kitobe (wa pili kushoto) kutoka Tanzania Sea Rescue na Issa Lwamba (wa pili kulia) kutoka Dar es Salaam Independent School (DIS). Makabidhiano yaliyofanyika mapema leo hii katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI

yaani makala yote KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kamishna-wa-operesheni-wa-jeshi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI VYETI CHA SHUKRANI"

Post a Comment

Loading...