Loading...
title : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA
link : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA
KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA
Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na watumishi wa Idara Kuu anayoiongoza katika Kikao cha wafanyakazi kilichofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma kilicholenga kukumbushana masuala mbalimbali ya kiutendaji ili kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bw. Raphael Nombo akifafanua masuala mbalimbalia ya Kiutawala na Kiutumishi kwa watumishi wa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii katika Kikao cha wafanyakazi kilichofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma kilicholenga kukumbushana masuala mbalimbali ya kiutendaji ili kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi.
Afisa Utumishi Bi. Daina Lumelezi akieleza yatokanayo na Kikao kilichopita kwa Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii na na watumishi katika Kikao cha wafanyakazi kilichofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma kilicholenga kukumbushana masuala mbalimbali ya kiutendaji ili kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi.Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bi. Sophina Mjangu akiwasilisha Sura ya Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 kwa watumishi wa Idara Kuu anayoiongoza katika Kikao cha wafanyakazi kilichofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma kilicholenga kukumbushana masuala mbalimbali ya kiutendaji ili kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi.
Baadhi ya watumishi wakifuatilia kikao kati yao na Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) kilichofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma kilicholenga kukumbushana masuala mbalimbali ya kiutendaji ili kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW
Hivyo makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA
yaani makala yote KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-afungua-kiko.html
0 Response to "KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA KIKO CHA WAFANYAKAZI IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MJINI DODOMA"
Post a Comment