Loading...

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA

Loading...
KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA
link : KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA

soma pia


KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA

Baada ya kulazwa kwa muda mrefu hatimae leo Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva amefika mahakamani kuhudhuria kesi yake ya utakatishaji wa fedha inayomkabili yeye pamoja na makamu wake Godfrey Nyange ' Kaburu' .Pia Upande wa mashtaka umedai kuwa unatarajia kumuongeza mshtakiwa mmoja katika kesi hiyo.

Aveva ambaye alikuwa akiugua na kulazwa kwa muda mrefu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, leo amefika mahakamani akiwa anatembea kwa shida huku akiwa ameshikiliwa mkono na mshtakiwa mwenzake Kaburu.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba, wakili wa Serikali kutoka Takukuru Leornad Swai amedai kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya washtakiwa kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi kukamilika.

Hata hivyo, wakili Swai ameiomba mahakama  ahirisho fupi kwa kuwa wanatarajia kufanyia mabadiliko hati ya mashtaka kwa kuongeza mshtakiwa mmoja.Kufuatia ombi hilo, kesi imeahirishwa hadi Aprili 12 mwaka huu kwa ajili ya upande wa mashtaka kufanya mabadiliko hayo na washtakiwa kusomewa Maelezo ya awali.

Kwa pamoja washtakiwa hao wanakabiliwa na Mashtaka matano ya uhujumu uchumi ikiwamo ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na utakatishaji ea fedha ambazo ni Dola za Marekani (USD) 300,000.
Baada ya kuugua kwa muda mrefu hatimae leo Rais  wa klabu ya Simba, Evans Aveva amefika katika mahakamani, pichani akitoka mahakamani baada ya kesi yake inayomkabili yeye na makamu wake Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu kuahirishwa hadi Aprili 12, mwaka Huu.


Hivyo makala KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA

yaani makala yote KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kesi-ya-utakatishaji-fedha-avevakaburu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA AVEVA,KABURU WASOMEWA MAELEZO YA AWALI BAADA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA"

Post a Comment

Loading...