Loading...
title : MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA
link : MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA
MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang'ombe, akizungumza wakati wa hafla ya kusaini mkataba kati ya Posta na Mahakama ya Tanzania wa huduma ya Posta Mlangoni inayotolewa na shirika hilo. Hafla hiyo, imefanyika katika Ofisi za Mahakama ya Rufani, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Katanga na kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa TPC, Zuhura Pinde. Waliosimama nyuma yao, ni baadhi ya Maofisa waandamizi wa Posta na Mahakama.
Msajili wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati (kulia), akizungumza katika hafla hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang'ombe na katikati ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Katanga. Wengine nyuma kutoka kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara wa TPC, Fadya Zam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TPC, Elia Madulesi, Mtendaji wa Mahakama Kuu, Leonard Magacha, Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta na Mtendaji wa Mahakama ya Rufani, Solanus Nyimbi.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Katanga akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Hivyo makala MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA
yaani makala yote MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mahakama-yaingia-mkataba-posta-mlangoni.html
0 Response to "MAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA"
Post a Comment