Loading...
title : MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME
link : MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME
MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME
Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Balozi Ali Karume (wapili kushoto) wakishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume kwenye kaburi la Hayati Karume lililopo Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar Aprili 7, 2018. Wanne kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na watatu kushoto ni Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Balozi Ali Karume (wapili kushoto) wakishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mini Zanzibar Aprili 7, 2018.
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein akishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi. Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar DKt. Ali Mohammed Shein akishiriki katika dua ya kumkwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Augustine Mahiga wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME
yaani makala yote MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/majaliwa-ashiriki-dua-ya-kumwombea-rais.html
0 Response to "MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME"
Post a Comment