Loading...

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Loading...
MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
link : MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namba umeme wa majumbani na viwandani unavyofanya kazi kutoka kwa mkufunzi wa umeme wa Chuo cha Mwenge Community College Mwalimu Mohamed Mbarawa wakati wa ziara ya Makamu wa Rais chuoni hapo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi wa miundo mbinu katika mradi wa maji utakao nufaisha wakazi wa elfu saba mia tano (7500) katika Shehia 4 mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la maji safi Kikawajuni kwa Mselem katika jimbo la Kikwajuni, wengine pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi Ndugu Ayoub Mohammed Mahmoud .Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-aendelea-na-ziara-mkoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI"

Post a Comment

Loading...