Loading...

Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei

Loading...
Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei
link : Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei

soma pia


Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei

TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya mchezo wa kujihami Tae kwo-ndo kwa nchi za Afrika Mashariki yanayofanyika Mei mwaka huu.

Rais wa Tae kwo-ndo kwa nchi za Afrika Mashariki, Kennedy Said alisema jana kuwa maandalizi ya mashindano hayo yameanza.

Alisema mashindano hayo yatakutanisha wachezaji zaidi ya 70 kutoka nchi za Uganda, Burundi, Kenya, Rwanda na wenyeji Tanzania.

Kennedy ambaye pia ni Rais wa Tae Kwo-ndo Tanzania alisema zimealikwa nchi za Ethiopia na Sweden kushiriki mashindano hayo na zawadi mbalimbali zimeandaliwa kwa ajili ya washindi.

Kennedy alisema Tanzania ilipata nafasi ya kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa mashindani hayo kutokana na mkutano wa nchi saba wanachama uliofanyika Kampala,Uganda Desemba mwaka jana.

Alisema washindi wa mashindano hayo watapata nafasi ya kushiriki fainali ya kuwania ubingwa wa mchezo huo Afrika utakaofanyika Addis Ababa, Ethiopia Agosti mwaka huu.
Wachezaji wa Tae kwo-ndo wakijiandaa kwa mazoezi.


Hivyo makala Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei

yaani makala yote Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mashindano-ya-mchezo-wa-kujihami.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei"

Post a Comment

Loading...