Loading...

Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London

Loading...
Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London
link : Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London

soma pia


Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London

Picha na Habari za Freddy Macha Makamu wa Rais Mhe Suluhu Samia akizungumza na Dk Mohammed Hamza, kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Uingereza Ulikuwa mkutano mfupi uliokusudia kutoa shukrani kwa wafadhili na Watanzania London wanaosaidia nyumbani. Fadhila hupitia Jumuiya ya Waingereza na Watanzania (BTS) na kitengo chake cha TDT = shirika la Mfuko wa Maendeleo Tanzania. BTS ilianzishwa mwaka 1975, na mlezi wake sasa hivi ni Rais mstaafu Ali Mwinyi. BTS ilimkaribisha Makamu wa Rais Mheshimiwa Suluhu Samia, aliyekuja London wiki hii kudhuruia mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Madola. Kawaida viongozi hutegemewa hotuba ndefu zenye maelezo yanayochosha masikio. Mhe Suluhu alitua chuo kikuu cha lugha za Afrika na Mashariki ya Kati (SOAS) akasalimiana na kupeana mikono na wananchi wa pande zote mbili. Hiyo tu ilitosha kuonesha imani yake kwa wananchi wachapa kazi wa pande hizi mbili. Balozi wetu Uingereza, Dk Asha Rose Migiro akiwa na Kaimu Balozi Uingereza Tanzania, Mhe Marc Thayre Mwenyekiti wa Jumuiya Ya Uingereza na Tanzania – BTS. Dk Andrew Coulson aliyefungua na kufunga kikao cha Brunei Gallery, SOAS. Baadhi ya Watanzania waliohudhuria. Kutoka kushoto, Kiondo Wilkins, Dk Alex Paurine, Simon Mzuwanda na Joe Warioba


Hivyo makala Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London

yaani makala yote Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/matukio-makamu-wa-rais-mama-samia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watanzania na Waingereza,London"

Post a Comment

Loading...