Loading...

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Loading...
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA
link : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

soma pia


MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. 
 aziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Musoma  Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye  (katikati) na Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya El Shadai ya mjini Dodoma kwenye viwanja vya bunge, Aprili 25, 2018. Wapili kushoto ni mwalimu wa Shule hiyo, Vincent Kawilima.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. Kutoka kushoto ni Dkt, Raphael Chegeni wa Busega, Danstan Kitandula wa Mkinga, Venance Mwamomoto wa Kilolo, Mussa Sima wa Singida Mjini na Mbunge wa Kuteuliwa Abdallah Bulembo. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu-leo_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...