Loading...

Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana

Loading...
Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana
link : Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana

soma pia


Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana

 Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Constatine Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kuhusu Mifumo iliyoborehswa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na wa Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD, (Jazia - Prime Vendors System) leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3. Kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Robert Salim, Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu na Mwakilishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Bi. Nkinda Shekalage. 
 Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Janeth Kibambo akielezea jambo wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kuhusu Mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na wa Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD, (Jazia - Prime Vendors System) leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
 Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Bi. Nkinda Shekalage akifafanua juu ya madhumuni ya mafunzo ya siku tano kuhusu mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD, (Jazia - Prime Vendors System) leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tano kuhusu mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD, (Jazia - Prime Vendors System) wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.
Baadhi ya wawezeshaji wa mafunzo ya siku tano kuhusu mifumo iliyoboreshwa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango katika Vituo vya Afya (DHFF) na Manunuzi ya dawa nje ya mfumo rasmi wa MSD(Jazia - Prime Vendors System) wakijadiliana jambo mara baada ya uzinduzi rasmi wa mafuynzo hayo leo Jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Mbeya.)



Hivyo makala Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana

yaani makala yote Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mwarobaini-utoaji-huduma-za-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana"

Post a Comment

Loading...