Loading...

NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

Loading...
NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini
link : NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

soma pia


NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Description: Description: Description: Description: Description: Coat of Arms
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz               

Faksi: 255-22-2113425



OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

Ikulu, Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Idris Suleiman Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Kikula umeanzia tarehe 17 Aprili, 2018.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Mhe. Rais Magufuli amewateua Makamishna wa Tume ya Madini kama ifuatavyo:
  1. Bw. Doto James – Katibu Mkuu, Fedha na Mipango.
  2. Bi. Dorothy Mwanyika – Katibu Mkuu, Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
  3. Dkt. Florens Turuka – Katibu Mkuu, Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  4. Mhandisi Musa Iyombe – Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
  5. Bw. Haroun Athuman Kinega – Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji wa Madini (FEMATA).
  6. Dkt. Evaristo Emmanuel Longopa – Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
  7. Prof. Abdulkarim Hamis Mruma – Mkurugenzi wa Taasisi ya Jiolojia na Utafutaji Madini Tanzania (GST).
  8. Dkt. Athanas Simon Macheyeki – Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI).
Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Balozi Mstaafu Daniel Ole Njoolay kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA).
Uteuzi wa Balozi Mstaafu Njoolay umeanza tarehe 17 Aprili, 2018.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

18 Aprili, 2018



Hivyo makala NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

yaani makala yote NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/news-alert-rais-magufuli-amteua-prof.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini"

Post a Comment

Loading...