Loading...

NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO

Loading...
NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO
link : NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO

soma pia


NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO


Msanii Video Queen Agness Gerald (Masogange)  amefariki Dunia jioni ya leo katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo jijini Dar Es Salaam baada ya jana kuzidiwa na kukimbizwa hospitalini hapo.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya uhakika vimeeleza kuwa Agness alizidiwa jana mapema na kukimbizwa katika hospitali hiyo kwa matibabu ya haraka,lakini kwa bahati mbaya mapema leo jioni  alifariki Dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo,ambapo mpaka sasa haijainishwa wazi Ugonjwa uliokuwa ukimsumbua.

Aidha Michuzi Blog imeshuhudia Mwili wa Marehemu Agness Masogange ukiondolewa kituo cha Afya cha Dkt Ngoma  na kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jioni hii.

Tutazidi kuwaleta taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu,

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amen



Hivyo makala NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO

yaani makala yote NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/newz-alert-agness-masogange-afariki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO"

Post a Comment

Loading...