Loading...
title : NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga
link : NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga
NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga
Zaidi ya watu 20 wanadaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajari ya basi la kampuni ya City bus lililogana uso kwa uso na fuso katika kijiji cha makomelo wilayani Nzega mkoani TABORA.
Ajari hiyo imetokea usiku wa kuamkia Leo katika kijiji hicho baada ya kudaiwa dereva wa fuso kutaka kukwepa shimo na kujikuta fuso hilo likimshinda,hivyo kupelekea kugongana USO kwa USO.
MPAKA sasa kamanda wa jeshi la polisi mkoani TABORA na viongozi wengine wa serikali wamefika katika eneo la tukio huku basi hilo likitarajiwa kunyanyuriwa ili kuona kama kuna watu wengine waliosalia.
Hata hivyo miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika hospital ya wilaya ya Igunga kwa ajili taratibu zingine.
Globu ya Jamii inafuatilia kwa ukaribu tukio hili,itaendelea kuwaletea taarifa kadiri ya zitakavyokuwa zikipatikana kutoka Mamlaka husika.
Mungu azilaze roho za Marehemu mahali pema peponi-Amen
Hivyo makala NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga
yaani makala yote NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/newz-alert-watu-zaidi-ya-20-wadaiwa.html
0 Response to "NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga"
Post a Comment