Loading...

PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA

Loading...
PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA
link : PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA

soma pia


PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha

SERIKALI mkoani Pwani, imeitikia wito wa serikali ya awamu ya tano ya kujenga viwanda vya madawa na baadhi ya vifaa tiba ambapo inatarajia kuwa na viwanda hivyo vitatu hali itakayoondoa adha ya kuagiza madawa nje ya nchi .

Aidha imekemea tabia inayofanywa na baadhi ya wawekezaji ya kutoa ajira kwa watu kutoka nje ya nchi na kuwabania fursa hiyo wanaPwani ama watanzania.

Akielezea masuala ya uwekezaji na ajira ,wakati wa ziara yake ya kutembelea viwanda mjini Kibaha ,mkuu wa Mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo alisema Viwanda vya madawa vitawezesha kuokoa mamilioni ya fedha yaliyokuwa yakitumika kununulia madawa nchi jirani na nje.

Alieleza viwanda vitatu vinajengwa Mkoani Pwani ikiwemo Kairuki Pharmaceuticals industry Ltd ,Zinga pharmaceuticals ambacho kitajengwa kwa ubia na waislael na kipo mbioni kuanza kujengwa na Bahari pharmaceuticals .

"Tunaikitia wito wa rais Dk.John Magufuli ,lakini pia tangu kipindi cha nyuma tumejipanga kujenga viwanda hivyo ,kupitia ziara hii tunawathibitishia wananchi tunaunga  mkono kauli ya serikali yetu"alifafanua Ndikilo.



Hivyo makala PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA

yaani makala yote PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/pwani-kujenga-viwanda-vitatu-vya-madawa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA"

Post a Comment

Loading...