Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400
link : RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400
Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 2, 2018
Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere huku ikipewa heshma ya kumwagiwa maji(water salute) mara baada ya kutua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati wa uzinduzi wa ndege Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Marubani walioileta ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 kutoka Canada (wawili waliosimama kulia) na marubani na wahudumu wa ATCL mara baada ya kuwasili kwa ndege hiyo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa viongozi wa dini na wa ATCL wakiwa ndani ya ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka, Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sifuni Mchome na marubani walioileta ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakala wa Safari (TASOTA) Bw. Mustapha Khatawa kwa kuwasili kwa ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-apokea-ndege-mpya-ya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400"
Post a Comment