Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI
link : RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akipata maelezo ya toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga TCAA Bw. Hamza Johari  katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   akisalimiana na Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond ambaye alikuwepo kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI"

Post a Comment

Loading...