Loading...

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.

Loading...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.
link : Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.

soma pia


Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe.Jecha Salim Jecha alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na wajumbe wake,[Picha na Ikulu.] 17/04/2018.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano (ZEC) kutoka kwa Mhe. Jecha Salim Jecha alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Wajumbe wa Tume yake leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha mara baada ya kukabidhi  Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya  Tume hiyo leo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati)   akiwa katika picha ya pamoja  na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha (wa tatu kushoto) mara baada ya kukabidhi  Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya  Tume hiyo  leo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu.] 


Hivyo makala Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.

yaani makala yote Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/tume-ya-uchaguzi-zanzibar-zec-yakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Yakabidhi Ripoti Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar."

Post a Comment

Loading...