Loading...

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE

Loading...
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE
link : UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE

soma pia


UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE

Katika kutekeleza Sera ya Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi kwa kushirikiana na Taasisi ya Wafanyabiashara ya Uholanzi (Dutch Council for International Business - DCIB) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zimeandaa Warsha ya Biashara na Uwekezaji iliyofanyika jijini The Hague nchini Uholanzi tarehe 29/03/2018.

Lengo kuu la Warsha hiyo, pamoja na kuendeleza na kukuza uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Uholanzi, ni kutangaza fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji zilizopo nchini Tanzania hususan katika Sekta za Viwanda, Ufugaji, Uvuvi, Utalii, Ujenzi, Kilimo na Miundombinu ya Kilimo. 

Aidha, Warsha hiyo iliyohudhuriwa na Wawakilishi wa Makampuni takriban sitini (60) ni mwendelezo na jitihada mbalimbali ambazo Kituo cha Uwekezaji Tanzania kwa kushirikiana na Balozi za Tanzania zilizopo nje ya nchi kuendeleza diplomasia ya uchumi ili kuweza kukuza uchumi wa Tanzania na kufikia malengo ya Serikali kuwa nchi ya uchumi wa kati na uchumi wa viwanda.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi, Irene Kasyanju,  akitoa neno la ukaribisho wakati wa Warsha ya Biashara na Uwekezaji.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria Warsha ya Biashara na Uwekezaji Jijini The Hague wakimsikiliza Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Geoffrey I. Mwambe akitoa mada kwa wahusika wa Makampuni mbalimbali kutoka Uholanzi waliohudhuria Warsha hiyo.


Hivyo makala UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE

yaani makala yote UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/ubalozi-wa-tanzania-nchini-uholanzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI THE HAGUE"

Post a Comment

Loading...