Loading...

WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA

Loading...
WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA
link : WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA

soma pia


WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA

 Mwakilishi wa Jimbo la Gando, Maryam Thani Juma akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba yaliyoandaliwa na Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibae (ZEDO) yaliyofanyika Ofisi ya Umati na Malezi Bora Tanzania iliyopo Wete Pemba.
 Wajasiriamali wa vikundi mbali mbali vya Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa mikoba na mazulia yaliyoandaliwa na (ZEDO)  yaliyofanyika Wete Pemba.
 Waziri wa Afya Zanzibar, Khamad Rashid Mohammed akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibae (ZEDO) Ussi Said Suleiman katika sherehe ya ufungaji wa mafunzo ya siku tatu ya utengenezaji wa mikoba na mazulia yaliyofanyika Ukumbi wa Jamuhuri Holl Wete Pemba.
 Waziri wa Afya Zanzibar, Khamad Rashid Mohammed akifunga mafunzo ya utengezaji wa Mikoba na Mazulia katika Ukumbi wa Jamuhuri Holl Wete Pemba.
 Mwenyekiti wa Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibae (ZEDO) Ussi Said Suleiman (kulia) akiagana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Khamad Rashid Mohammed mara baada ya kuyafunga mafunzo kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba. Picha na Makame Mshenga Pemba.​


Hivyo makala WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA

yaani makala yote WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/wajasiriamali-wa-mkoa-wa-kaskazini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA MIKOBA NA MAZULIA"

Post a Comment

Loading...