Loading...

Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria

Loading...
Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria
link : Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria

soma pia


Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria


Ndege ya kijeshi ya Algeria iliyokuwa imebeba wanajeshi imeanguka Jumatano asubuhi na kuuwa watu 257.

Maafisa wamesema kuwa ndege hiyo imeanguka karibu na kituo cha ndege za kijeshi cha Boufarik muda mfupi baada ya kuruka.

Wizara ya ulinzi ya Algeria imesema kuwa ndege hiyo ilikuwa inaelekea kwenye eneo la Tindoufkusini mashariki mwa taifa hilo.

Mpaka wakati huu sababu za kuanguka ndege hiyo hazijaweza kufahamika.


Hivyo makala Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria

yaani makala yote Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/watu-257-wafariki-katika-ajali-algeria.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria"

Post a Comment

Loading...