Loading...

WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA

Loading...
WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA
link : WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA

soma pia


WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa vijana sita watakaokimbiza Mwenge huo, Charles Kabeho wakati alipozindua mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye uwanja wa Magogo mjini Geita, Aprili 2, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwansha Mwenge wa Uhuru kuzindua mbio zake kwenye uwanja wa Magogo mjini Geita, Aprili 2, 2018 Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-azindua-mbio-za-mwenge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA"

Post a Comment

Loading...