Loading...
title : Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo
link : Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo
Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya ambaye alikuwa mgeni rasmi (wa tatu toka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili toka kushoto) wakikata utepe wa kuzindua huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Wagongwa wakipata huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo ilipofanyika uzinduzi katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akitoa ufafanuzi juu ya huduma wanayoitoa katika kitengo hicho.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Mkuu wa kitengo cha huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza uzinduzi iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo
yaani makala yote Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/afya-muhas-mlonganzila-wazindua-huduma.html
0 Response to "Afya : MUHAS Mlonganzila Wazindua Huduma za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo"
Post a Comment