Loading...
title : BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER
link : BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER
BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER
Mwamba wa habariMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo amewahimiza Wananchi wote waliojenga kwenye maeneo hatatishi ikiwemo mabonde na sehemu zenye miinuko kuondoka ili kujikinga uharibifu wa Mali na vifo visivyokuwa na ulazima.
Aidha RC Makonda amewaagiza Wenyeviti wote wa mitaa kuainisha nyumba zilizojengwa kwenye maeneo hatarishi ambapo amewataka kutoruhisu watu kujenga maeneo ya mabondeni.
Katika ziara alizofanya RC Makonda amejionea nyumba nyingi zikiwa zimejengwa kwenye maeneo yasiyo rasmi kiasi kwamba hata ikitokea janga la moto inakuwa vigumu Jeshi la zimamoto na uokoaji kufika na hata mgonjwa akizidiwa gafla ni vigumu kuwahishwa hospital jambo ambalo ni hatari kwa usalama.
Hivyo makala BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER
yaani makala yote BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/baada-ya-kutembelea-eneo-linalo-titia.html
0 Response to "BAADA YA KUTEMBELEA ENEO LINALO TITIA ,MAKONDA ATOA AGIZO KUTOLEWA ORODHA NYUMBA ZA MABONDENI DAER"
Post a Comment