Loading...

BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII

Loading...
BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII
link : BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII

soma pia


BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII



Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Somalia, Bela Bird leo amefungua warsha ya siku mbili kwa watalaamu na Watumishi wa Serikali kutoka nchi ya Tanzania na Malawi hili waweze kuendana mpango kazi wa Masuala ya Mazingira na Masuala ya kijamii pindi wanapotekeleza miradi inayotekelezwa na benki hiyo katika nchi hizo mbili.

Bi Bela amesema kuwa Warsha hiyo ambayo itaweza kuwasaidia watumishi wa serikali kujua miradi inayofanywa na benki ya Dunia awezi kuathiri mfumo wa Mazingira wala wanadamu wanaoishi katika eneo husika kwa namna moja ama nyingine hili kuweza kuleta usawa wa ikolojia.

"tumezunguka kama benki kwenye nchi kma 63 na kuwaeleza watu jinsi mpango kazi wa mazingira ulivyobadirika ambao una viwangoi kumi kwa kutizama masuala ya ustawi wa jamii pamoja na kutoathiri Mazingirakwa viumbe vyenye uhai na visivyo na uhai."

alimaliza kwa kusema kuwa mpango kazi huo utaweza kuwasaidia watumishi wa serikali wanaosimamia miradi ya maendeleo inafadhiliwa na benki hiyo inafanikiw abila kuathiri uharibifu wa Mazingira.
 Mkurugenzi wa  Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Somali,Bela Bird akizungumza wakati w aufunguzi wakati wa kufungua warsha kwa watumishi wa Serikali juu ya Mpango wa Benki hiyo katika masuala ya Mazingira na Kijamii  Jijini Dar es Salaam.
 Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Benki ya Dunia, Nathale Munzberg akizungumza wakati akitoa mada wakati wa warsha kwa watumishi wa Serikali juu ya Mpango wa Benki hiyo katika masuala ya Mazingira na Kijamii  Jijini Dar es Salaam.
 Washiriki wa warsha kwa watumishi wa Serikali juu ya Mpango wa Benki hiyo katika masuala ya Mazingira na Kijamii  Jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa warsha kwa watumishi wa Serikali juu ya Mpango wa Benki hiyo katika masuala ya Mazingira na Kijamii  Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII

yaani makala yote BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/benki-ya-dunia-yatoa-mafunzo-ya-siku_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMII"

Post a Comment

Loading...