Loading...

DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI

Loading...
DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI
link : DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI

soma pia


DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI


Na Chalila Kibuda,Blogu ya jamii

MKUU wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Sophia Mjema amewapongeza kazi kubwa inayofanywa na waandishi wa habari katika kuuhabarisha umma wa Watanzania.

Mjema ametoa kauli hiyo jana Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari ambapo ametumia nafasi hiyo kuelezea umuhimu wa vyombo hivyo katika maendeleo ya nchi yetu.

Maadhimisho hayo yamefanywa na Jukwaa la Waandishi wa habari Mkoa wa Dar es Salaam kwa kukutana na kujadili masuala ya mbalimbali yanayoikumba tasnia ya habari.Kwa kukumbusha tu maadhmisho hayo duniani huadhimishwa kila ifikapo Mei 2 na 3 ya kila mwaka.

Hivyo wakati anazungumza Mjema amehimiza pia waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia weledi, kanuni na taratibu.Mwenyekiti wa Jukwaa la Waandishi wa habari Jane Mihanje amesema wanahabari wanaomba kulindwa ili watekeleze majukumu yao kwa uhuru zaidi.

Aidha changamoto ambazo zimeelezwa ikiwemo ya kukosa uhuru wa kufanya kazi ni vema nayo ikapatiwa ufumbuzi .


Hivyo makala DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI

yaani makala yote DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/dc-mjema-aihimiza-waandishi-wa-habari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI"

Post a Comment

Loading...