Loading...

JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA

Loading...
JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA
link : JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA

soma pia


JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo ameagiza kufungwa mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato katika vituo vyote vya Afya 208 vinavyoboreshwa hapa nchini. 

Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo alipotembelea wilayani Chamwino mkoani Dodoma kukagua Ujenzi wa kituo cha Afya Chamwino ambacho kimepokea Sh.Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu.

Akizungumza katika ukaguzi huo, Waziri Jafo amewapongeza watendaji wa Halmashauri hiyo kwa usimamizi vizuri wa miundombinu hiyo ambapo amejulishwa kuwa hadi sasa jengo la upasuaji, maabara, nyumba ya daktari, chumba cha kuhifadhi maiti, na wodi ya wazazi zipo hatua za mwisho. 

Kufuatia maendeleo hayo mazuri ya ujenzi wa vituo hivyo hapa nchini, Jafo ameagiza kufungwa mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato ili vituo hivyo vitakapokamilika viweze kukusanya mapato ipasavyo na kutoa huduma bora kwa wananchi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akitoa agizo la ufungwaji wa mifumo ya kielektroniki katika vituo vya afya vinavyojengwa nchin.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino wakifanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino wakifanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino Athuman Masasi alipofanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino wakati alipofanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.


Hivyo makala JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA

yaani makala yote JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/jafo-aagiza-mifumo-ya-kielektroniki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208 VINAVYOBORESHWA"

Post a Comment

Loading...